Monday, August 6, 2012

Launching Ya Let It Rain Ya Sara Shilla Next Level

Hiyo ilikuwa siku ya Jana  ndani ya ndani ya  Ukumbi wa Banora Maeneo Ya Survey Karibu na eneo la Mlimani City Mwanamuziki Wa Injili Sarah Shilla amelizindua Albam Yake ya Kwanza yenye jina la “Let It Rain”. Kwani uzinduzi huo uliweza kuhudhuriwa na watu kutoka sehemu mbalimbali hapa Jijini wakiwemo Wachungaji wa baadhi ya Makanisa ya kiroho pamoja na vikundi mbalimbali vya kusifu na kuabudu.


Rivers Of Life Kutoka DPC chini Ya Pastor Safari Wakihudumu Siku Ya Jana

 Mwenge Praise Team wakihudumu Siku Ya Jana

Papaa Ze Blogger Kama Kawa Akiwakilisha Siku Ya Jana

Miriam Lukindo wa Mauki ndani ya Banora

Rivers Of Joy Kutoka VCC wakiwa Ndani ya Kumsindikiza Sarah Shilla Kwenye Launching ya albam. 
Mshehereshaji Mashuhuri jijini Dar, Mc King Chavalla ndiye aliyekuwa akiongoza shughuli nzima ya Jioni ya jana. Mbali na Kuongoza event hiyo pia Mc huyo alifanya Comedy kama ilivyo kawaida ya Mc huyo the King Of Stand Up Comedy.

Mc wa Event King Chavala akiwa Kikazi Zaidi Siku Ya Jana

Pastor Safari Akifungua event ya Siku Ya Jana.

Mwanamuziki wa Injili alipanda Jukwaani Majira ya Saa 12 jioni kwa style ya aina yake na kuhudumu nyimbo 5 mfululizo Jukwaani. Kisha Rev Dr. Huruma Nkone Alibariki Albam hiyo ya "Let It Rain In His Presence".

Rev. Dr. Huruma Nkone akiwa ndani ya Banora Siku Ya Jana

Blog Inatoa Big Up Kwa Sara Shila Kwa Siku ya leo Kufikia hatua hiyo.

 Watu Peopleeeeee Hand Uuuuuuuuuuup

Without Caption Jana Na Leo....../....
Eunice akiwa na Kundi Lake
Katika Uzinduzi Huo Uliopambwa na vikundi mbalimbali vya uimbaji ulifana kwa aina yake katika Ukumbi huo wa Kisasa kabisa Jioni ya jana. Kati Ya Vikundi vilivyo hudumu siku ya leo ni Mwenge TAG Praise Team ambao waliongoza Kusifu na Kuabudu, wengine ni Rivers Of Life Wa DPC, Rivers Of Joy Wa VCC, Eunice and Miriam Lukindo Wa Mauki na wengine wengi

 Sara Shilla Akihudumu Siku Ya Jana

 Tehe tehe Hawa Ndo Walibeba CD

Rev. Dr. Huruma Nkone akizindua Albam hiyo Siku Ya Jana Kwenye Ukumbi Wa Banora.



No comments:

Post a Comment