Monday, December 17, 2012

iving Water Worship Team Wafanya Live Recording at Diamond Jubilee

Siku Moja Baada ya kundi Maarufu Africa Ya Kusini Joyous Celebration kufanya Live Recording yao ya Albam ya 17, Kundi Maarufu La Living Water Worship Team la Makuti Kawe Limefanya Live Recordings Katika Ukumbi Maarufu wa Diamond Jubilee.

Katika Live Recording hiyo iliyoingiza nyimbo takriban 17 ilihudhuriwa na Wakazi wengi wa Jiji la Dar-es-Salama na Vitongoji vyake. Shughuli nzima ya Event Hiyo iliongozwa na Ma Mc Papaa Ze Blogger Pamoja na Rose Mushi. Vikundi vilivyosindikiza Live Recording hiyo ni R.I.O.T Dancers, Glorious Celebration pamoja na John Lisu.
 Living Water Worship Team Wakiwa Back Stage kwa matayarisho
 Apostle Ndegi pamoja na Mke wake Lilian Ndegi wakienda Sawa.
                         Hudson Kamoga and Ze Blogger ndani ya Diamond
             Event Manager Ms. Delicious akienda sawa ndani ya Diamond. 
                                  Watu wakipokea kama kawa
                            Wengine wakakutana na Nguvu ya Mungu
 Kama ni Mpira basi tunasema ni Nyota ya Mchezo...Raphaaa ni Next Level Sana
                                Mzee Mzima John Lisu akiwa Kikazi Zaidi.
                                       Machine Ingine hii Rapha
                                          RIOT Dancers back stage
                        Phase Two ilikuwa amsha amsha sana siku ya Jana
                         John Lisu akiwa na Mkewa ndani Ya Diamond
                         Baba Askofu Prosper Mwakitalima akiwa Kazini
                         Glorious Celebration wakiwa Jukwaani
                         Living Water Jukwaani
                         Watu wakienda Sawa
                         Kama JC vile
                              Ma Mc wa Event Ya Jana Papaa Ze Blogger and Rose Mushi.

No comments:

Post a Comment