| Mch. Adam Hajj Mohamed akimsifu Mungu |
| Mch. Joyce Nkone kulia akiwa na ubavu wa Mch. Haji |
| Mch. Adam Hajj Mohamed na Mch. Huruma Nkone wakimsifu Mungu |
| Mch. Adam Hajj Mohamed akiwa na mkewe kabla ya kuanza mafuindisho ya Semina |
| Vijana wa VCCT wakimleta mratajiwa (Bwana hARUSI Mtarajiwa) huku wakiwa mawembeba juu |
| Bwana Harusi mtarajiwa ndani ya suti |
| Watarajiwa hao wakielekezwa cha kufanya na Mch. Huruma pindi walivyotangaza nia siku ya jumapili ndani ya VCCT |
| Mch. Huruma Nkone akiibariki pete ya wachumba hao waliotanganza nia jana |
| Tendo likifanyika..safi sana wapendwa |
| Mtarajiwa akiwa anatamka maneno aliyokuwa akitamka Mch. Huruma Nkone |
| Baba na Mwana |
| Safi sana vijana wa VCCT |
| Nikiwa na Mtumishi Mussa |
| 5Pipo ndani ya Pozi |
No comments:
Post a Comment