| Pastor Joyce Nkone |
| Rev. Adam Hajj akitoa mafundisho |
| "Asante Yesu kwa Wema wako"....Rev Dr. Huruma Nkone |
| Happy na tabasamu lenye ukuu na mwenzake |
| Mpendwa Naomi na mwenzake nao walikuwepo hapo ni kabla ya semina kuanza |
| Kaka Misana Manyama akimsifu Mungu na watumishi wenzake |
| Wapendwa wakimsifu Mungu |
| Rev. Dr. Huruma Nkone akimsifu Mungu |
| Sifa za Yesu zivume |
| Wapendwa wakimtukuza Mungu |
| Ni kwa utukufu wa Bwana |
| Safi |
| Mungu ni mwema |
| Watoto nao hawakuwa nyuma walimsifu na kumtukuza Mungu kwa kucheza pia |
| Add caption |
| Elisha akimtukuza Mungu na wapendwa wengine |
| Sifa kwa Bwana |
| Johnson akiwaongoza wenzake katika kusifu na kuabudu |
| Rev. Dr. Huruma Nkone akimsifu Mungu |
| Upendo Nkon |
| Rev. Adam Hajj na mkewe wakiteta na mtoto |
| Upendo Nkon akimtambulisha Johnson kwamba ni mmoja kati ya washiriki walioshiriki kweny albamu yake |
| Johnson na Mwimbaji wa nyimbo za kumsifu Mungu Upendo Nkon |
| Upendo wa Yeu ukitawala |
| Daniel na Fredy |
| Wapendwa katka Bwana wakisifu na kuabudu |
| baba na mwana |
| Kulikoni?...kila mmoja alikuwa busy |
| Fredy na Christina |
| Fredy na Daniel baada ya ibada ya pili kuisha jumapili |
| Tabasamu lilitawala kila mahali siku hiyo |
| Daniel na Jackie |
| Ni kwa Neema ya Bwana |
| Papaa Ze Blogger akiwa na Fredy |
| Rev. Dr. Huruma Nkone akiwa mazabahuni |
| Rev. Adam Hajji na mkewe |
| Dada Miriam Lukindo akiserebuka |
| Tabasamu lenye utukufu wa Bwana lilitawala kwa wapendwa |
| Hapo wapendwa wakingoja kupewa baraka za mwisho siku ya mwisho ya semina |
No comments:
Post a Comment