
CHAVALA
IDEAS PLATFORM NA WAFANYAKAZI WAKE WOTE WANAYO FURAHA YA PEKEE KWA
AJILI YA RAFIKI, KAKA NA MSHAURI PAPAA, KWA KUSHEREKEA SIKU YAKE YA
KUZALIWA LEO!!!

TUNAJISIKIA
VIZURI SANA NA TUNAKUTAKIA MAISHA MAREFU YENYE FANAKA NA BARAKA ILI
UZIDI KUATHIRI ULUIMWENGU WAKO KATIKA MTAZAMO CHANYA!!!
TUNATAMBUA PIA MCHANGO WAKO KATIKA JAMII KUPITIA VIPAJI VYAKO
MBALIMBALI...TUMEFARIJIKA KUWA UMEANZA KUANDIKA KATIKA KATIKA BLOG HII
KILA JUMANNE(PAPAA ON TUESDAY)