![]() |
| Glorious Band Walikuwepo ndani ya Hema la Ibada |
![]() |
| Watu wakienda Sawa ndani ya Hema, Kushoto mwenye Tai Senior Pastor, Ze Blogger kama kawa akiwakilisha. |
![]() |
| Worship Moment, Senior Pastor before the Throne. |
![]() |
| Mc Pilipili na Presidaa Chavalla Wakiwa Kikazi Zaidi siku ya Jumapili |
![]() |
| Glorious Band Kikazi Zaidi |
![]() |
| Rivers Of Joy na Glorious wakiwa eneo husika |
![]() |
| Siku Ya Kwanza ndani ya hema, ilitolewa Sadaka Ya Malimbuko kwa Ibada hii, Mchungaji Nkone na Mch. Joyce Nkone wakiwa tayari Kupokea sadaka. |
![]() |
| Hapa akipokea Sadaka Ya Malimbuko |












No comments:
Post a Comment